Job 9:9


9 aYeye ndiye Muumba wa nyota za Dubu,
Nyota za Dubu hapa ina maana ya kundi la nyota za kaskazini, ambazo zinaitwa kwa jina la Dubu Mkuu.
na Orioni,
Orioni ni kundi la nyota kubwa.

Kilimia,
Kilimia ni jina lililopewa nyota saba (Taurus).
na makundi ya nyota za kusini.
Copyright information for SwhKC